Nani aulizwe? wewe,unajua cha kujibu, Wivu tu,waliona shida saana Mtanzania wa kawaida kumudu gharama za kupanda ndege.Kama sio wao waliiiuwa na kama kweli nyie ni watetezi wa wanyonge tumieni zilezile bei za fast jet kwa safari mbalimbali.Kila Mtanzania hili analijua wala halihitaji shule.
Ni vizuri, hapa tunajaribu kubadilishana mawazo.Na mawazo yanaheshimiwa kwa sababu ungeweza kukaa kimya pia na usiulizwe na yeyote.Hoja kwa hoja,"kwa nini ni wachache tu wanaoliona hili" doa jeusi kwenye nguo nyeupe ndilo linaloonekana zaidi kuliko sehemu kubwa nyeupe iliyobaki.
Naomba niseme...
Niliposoma hii habari hapo juu,nikakumbuka mistari hii "HAKI HUINUA TAIFA,BALI DHAMBI NI AIBU KWA KILA MTU "Tena "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA" Haya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.