manajamii wenzangu nauliza, hii biashara ina faida gani?..
nimesika hawa jamaa wanapata shilingi 100;- kwa lita ya diesel au petrol. na ni waarabu na wahindi wanao jishuhulisha na bia shara hii?.kweli wangefany hiyo biashara kam faida yenyewe ni ndogo kama hiyo? au tunazibwa macho tu?..kam ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.