Hawa jamaa kuna mchezo wanatuchezea nadhan,mfano kuna zile nafasi za TPA walizoita watu kazini tarehe 12.7.2022,tangazo limeondolewa makusudi kabisa na pia kwenye status za waliokua wameomba izo nafasi na kuitwa oral kule kwenye account zao wameondoa selected na imekua kama hazijawahi kuitwa kwa...
Mim sitaki kuamini watanzania hawampendi kwa kuangalia watu wanaofurahia taarifa zisizo nzuri kwa afya ya mheshimiwa.Watanzania wako zaidi ya million 55 kuchukulia mihemko ya watanzania wasiozidi hata laki tano wanaofurahia ilo suala si jambo la kusema ndo mwelekeo wa watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.