Recent content by mamii90

  1. mamii90

    JamiiForums Tanzania Bidhaa ziingiazo nchini bila kodi

    Ndugu zangu naomba kujua ni bidhaa zipi zitokazo nje ya nchi bila kodi. Kwa mfano mimi nafahamu sanitary pads japo sijajua kama bado hazina kodi
  2. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    Kwa nini wengi mnafikiri ni Demiss Mbona sioni uhusiano
  3. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Nakushukuru.na pia nawashuku wote Mungu awabariki sana
  4. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Asante kwa ushauri
  5. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Asanteee
  6. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Wyatt Mathewson, Kukaa sio shida kwa familia nyingi za kiafrica Ila shida ni unakaaje?
  7. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Jumapili ndo nina muda
  8. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Asante...nitajaribu kufikiria swala la kutafuta watu wa kuzungumza nae
  9. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Sakayo kuna kipengengele sijakifanya muda saaana. Asante yaani kila weekend nitakua natoka na dada na mwanangu maana ndo furaha yangu pekee. Alafu mimi msichana wa kazi nikimuondoaga huwa anangangania hataki kuondoka maana ki ukweli hao viumbe nawaheshimu maana anaweza hata akakuokoa maana kwa...
  10. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Mama alinishauri sana kabla sijafunga ndo niwe makini na mtu ambae atanioa ila pamoja ns kuona viashiria vingiii tu ila nilisema labda uenda huko mbele mambo yatabadilika
  11. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Yupo wapi
  12. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Bora huyo anakusaidia hata mimi ningempa mapenzi yoote
  13. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Nishafikiri kufanya hivyo sasa hivi nahisi kufanya hivyo
  14. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Sijawahi kwenda poppte zaidi ya kumueleza mama yake ila natamani sana kuongea na mchungaji ila naogopa kumkera
  15. mamii90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Upo sahihi. Ila huyu binti ndo chanzo maana yeye ndo alinijua kabla ya mtu yoyote.ikawa kama naishi na mama mkwe kila linalofanyika linaripotiwa yaani
Back
Top Bottom