Recent content by mamibeibe

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Nasi ni mwili mmoja na ndo mana password pia anajua ila kafanya muamala bila taarifa kisha akafuta msg ndo nimeumia.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    EP PRO, Sijawahi kumnyanyasa na wala siulizagi maswali na kipato changu anajua na dili zote nazofanya anajua. Na sijaumia sababu ya elfu 5 ila why kafanya siri na ile message inayokuja aliifuta ndo nimeumia otherwise hatuna shida kabisa kwa yeye kutokuwa na kazi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Shukurani Asanteni sana kwa wote mlionishauri hususan wale waliotoa ushauri chanya kama vile Fibanochi emanuel prim na wengine wengi. Ushauri wenu ninauthamini na nitaufanyia kazi kwa faida ya mahusiano yangu na ndoa yangu. Mbarikiwe.
Back
Top Bottom