Recent content by Mamgobase

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

    Huyu nae anashida zake eti uongozi ina ya JPM hsutakiwi tz...sie watanzania ni tunauhitaji... Mtamchafua sana ila ndo hivyo yuko mioyoni mwetu siku zote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Acheni wivu wakike fukirieni maisha yenu mnalala mkiotea mabaya wenzenu... Mdoto za kuku kwa mwewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

    Kama mnaona shahidi hafai siuende wewe. Yaani unajiona unaweza ujaji... Mbowe ni gaidi na atafungwa nyie endeleeni kuupiga....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Athari za Majaji walioteuliwa na Hayati Magufuli

    Mmmekosa kazi umbea sinanyie mkawe majaji.. Mnaupiga mwingi hata shule hamkwenda kisa wateule... Tanzania kunawatu wa ajabu kweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

    Acha hasira JPM hatafutika akilini mwetu.... R.I.P JPM 🙏
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais wa Tanzania, team Mwendazake wote ningekuwa nishawasweka ndani, kizuizini au kuwapoteza wote

    Wewe umekuakua Mungu..? unatoa hukumu acha ujinga tubu zambi zako achana na maisha ya watu wengine kama umeshindwa maisha as ujinyonge? Kazi kuombeawatu mabaya maisha ushindwe wewe alaumiwe mwingine R. I. P JPM
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais wa Tanzania, team Mwendazake wote ningekuwa nishawasweka ndani, kizuizini au kuwapoteza wote

    Ndo maana huwezi kua Raisi endelea kuota ujinga wako kama umwshindwa maisha acha kuamisha failure zako eti uliteswa uvivu wako alaumiwe mwingine. Hufanyi kazi na chakula hakuna.. Hata biblia inasema hivyo.. R. I. P. JPM
  8. M

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Nyie jichanganyeni tu mnajiuliza maswali mnajijibu... Kama mnajua ukweli simkamteteee.. Yaani mnataka kubadilisha makosa ya ugaidi yaende kwa sabaya... Kama huo ushaidi hauna nguvu povu la nini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwani, Walinzi wa Mbowe si walikamatwa na Sabaya mwenyewe? Inafikirisha sana

    Nawewe ni walewale.. Gaidi umekuwa Jaji tokea lini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

    Wewe unazo sifa? Kazi kusema wengine ukijiangalia wewe mwenyewe hata kujiongoza huwezi... R. I. P JPM 🙏
  11. M

    JamiiForums Tanzania Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

    How dare you insulting other people shame on you. Let Kabudi alone. he played his role well he still most admired person.. Look yourself on the mirror
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    Hata wale wanaompinga JPM nao pia wanamatatizo ya akili mental disorder.. Yaani badala ya kupambania maisha yao wanagombana na mtu alie kufa.. Halafuwanajiona wanshinda eti kwasababu hajibu mashambulizi... 🙄. R. I. P JPM 🙏
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

    Mtajitahidi sana kumchafua JPM... Hachafuki R. I. P JPM 🙏
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

    Upinzani upi uchukue nchi... wakati makamanda wote ndo wengine ugaidi wengine ukimbizi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia si Hayati Magufuli. Washauri wametambua, wanamtumia

    Hata mpambe vipi mbowe ni Gaidi
Back
Top Bottom