thubutuuuu state of emegency? wewe jua yanayotokea Ntwara yapo Mara,Kagera,Dodoma,Dar,Mbeya,Zanzibar na kwingineko, hiyo kitu itazalisha kitu mbaya sana kwani hao Polisi wote wanaishi na Jamii husika je itakuwaje baadae? na wengine ni Ndugu zao,Acha Mambo ya Cinema Angalia Mazingira ya...
tusubiri nn kitaendele,Je anakwenda kuhutubia au kuongea nao? maana ni vitu viwili tofauti Kati ya KUHUTUBIA na KUONGEA.
Kama KUONGEA ATAFANIKIWA LAKINI KAMA KUHUTUBIA ATASHINDWA MAANA CHINGA AMECHANGE KAMA SIMBA ALIYETOROKA KTK Zoo,Isije kutoke Historia ikaandikwa tena,Itumike Busara Siyo...
..ata masasi kwa Mr Clean nako wanaandamana,Basi jua hali ni mbaya Mtwara,kwani watu wa Masasi ndiyo watu wenye sifa ya Upole na Unyenyekevu huku Kusini. this is ze End Movie inaanza Part II ya Uvumilivu basi Movie,ahahahahah,Jesus Bless Mtwara Peace and Love
...Mabasi yaliyokuwa yakitoka Mtwara kwenda Dar Asubuhi ya leo yametoka mjini hapa under Polisi eskot maana usalama hauamini especially eneo la Magomeni Nkana lediz ambako walala hai wanishi wengi. wamechoma Ofisi ya Chama t...... na kuteketeza Ofisi nyingine ya Pilato hahahahah this is...
ahahahahaha this time Today, nako mtwara htown hakukaliki Mabomu mpaka mchana huu saa saba7 bado yanalindima inasemekana Polisi wameshindwa ku Control lile vurumai la jana so moto wazidi kuwaka mjini Mtwara especially Bus Stand Area,Chikongola ambayo ni Mitaa ya Walala Hai!!!!!!.kweli "Chinga...
njoo huku then sema utumbo wako uone cha moto,watu wapo Serious bwana ,we unajua why Tanganyika hatujapigania Uhuru?,mzungu alitoka mwenyewe bila kupigwa najua we ni ntoto mdogo hujui dunia inakwendaje,Mungu Bariki Amani Tanzania,Mtwara
WEWE ACHA U ccm wako, hapo,mbona kulikuwa na waganga wanatoa wachawi kati ya April na may 2012 mbona hakukuwa na mfululizo wa Mabomu mitaani ka Hv?,mwenye Akili ndogo atasema Haihusiani na Masuala ya Gas lakini kwa Mtu Mkamilifu ambaye si mnafiki ataamini 100% kuwa suala ni "Gas na maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.