Recent content by mamboleo2

  1. M

    Jaji Lubuva: Nape angeijua Serikali asingekurupuka

    Kweli rafiki yangu umenena sawia kabisa. Ni serikali ya JK pekee yenye wasemaji lukuki. Hata NEC wenyewe si nao kabla walikuwa wakisisitiza kuwa April 30, upigaji kura ya maoni upo palepale? Kwani hata wao hawakujua kuwa muda huo kiutendaji hautoshi pamoja na uzoefu wao wa jiografia ya nchi...
  2. M

    Ukawa walikuwa sahihi kura ya maoni kupata katiba mpya.

    Nakwambia nchi ni mfilisi haina hela maana mafungu yote yamo mikononi mwa mafisadi. Hapa katikati kabla ya uchaguzi hakuna chochote kitakachoendelea. Kwanza yawezekana hata uchaguzi hakuna. Nchi inayoendeshwa na wavumbuzi wa dunia utaiweza? Hawakai kujua matatizo ya wanakaya,wao ni kiguu njia tu...
  3. M

    Ccm ni gari lililobeba abiria lakini wakati wa usiku taa zake hazioni mbali tahadhali

    Kwa hali iliyojitokeza ktk kikao cha bunge lililopita naamini kabisa gari hili tulilomo na ndilo linaloongoza serikali yetu ni bovu. Ni vyema kabisa Watz tushuke tupande gari jingine lenye uhakika na safari ya huko tuendako. Taa zake hazina mwanga wa kuona mbali hasa wakati wa usiku.Ona sasa...
  4. M

    Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    TUSEMEZANE: ukweli utabakia ukweli. Tujiulize, katiba pendekezwa imebeba maoni YALIYOTOLEWA NA WATANZANIA? Wasomi wengi na WATANZANIA wanaharakati na wabobea dini kama hao wanaojadiliwa sasa wote hawa wanawasimamia wananchi ambao wengi wao elimu yao ni ndogo Kwenye uchambuzi wa mambo mazito kama...
  5. M

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Nawapongeza kwa nguvu zangu zote WAPINZANI BUNGENI WAMEONYESHA UKOMAVU LIVE. WANANCHI TUPO PAMOJA NANYI. Kwenye luninga tunawacheck hata mtoto hatumwi somoni kwa vile kapicha kwenye luninga kanavutia hata kwa WATOTO WADOGO.
  6. M

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Nawapongeza kwa nguvu zangu zote WAPINZANI BUNGENI WAMEONYESHA UKOMAVU LIVE. WANANCHI TUPO PAMOJA NANYI. Kwenye luninga tunawacheck hata mtoto hatumwi somoni kwa vile kapicha kwenye luninga kanavutia hata kwa WATOTO WADOGO.
  7. M

    Mh. Lowassa aliwafanyia nini wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania alipokuwa Waziri Mkuu?

    Mwinukai ndugu yangu hili ndiyo taifa la kesho,wasoni wa kikatakata. Chuo cha utawala wa mh.Dr president na chenyewe kinaendeshwa ki-presida. Chezea chuo kikuu cha karne?
  8. M

    Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    We jamaa kiboko,safi sana WANAJF WENGI WALIOPITIA UDOM leo wameamka na kuchangia kwa uchungu kabisa. Sasa turudi kwenye UZI WENYEWE. Kuna wanafunzi wa UDOM waliofanya hayo? Kama wapo wawasikie wenzao wasivyofurahia, na kwamba vyuo visijihusishe na siasa uchwara kama huo.Someni ili mje kuwa...
  9. M

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Riwa! Nimekupata vyema HIYO ndiyo hali halisi. Waziri who is after haki za msingi za WATZ WOTE? WE HAVE BOGUS MINISTERS.ANYWAY MUNGU ATUSAMEHE
  10. M

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Kweli kabisa huyu jamaa ni hovyo hana shukrani afadhali angekuwa mbuzi mtikila angemfaidi kwa kitoweo.
  11. M

    Dr. Slaa amechoka kiafya,kifikra,kimwili na kimawazo

    Wewe ndo umelaaniwa kuliko ulivyodhani maana akili yako ipo Nyuma ya wakati.
  12. M

    Dr. Asha-Rose Migiro: Kura ya maoni ya Katiba Pendekezwa iko Palepale April 30

    Mimi binafsi nakubaliana kwadhati kabisa uwepo wake ni muhimu kabisa tena wapewe meno kabisa ili uamuzi wao uwe wa mwisho. Maana huo ni muhimili unaojitegemea.
  13. M

    Dr. Asha-Rose Migiro: Kura ya maoni ya Katiba Pendekezwa iko Palepale April 30

    I AM FEELING SHAMED TO BE TANZANIAN. A RESPONSIBLE MINISTER TO POSE A SPEECH TO MEDIA AS LOCAL WOMAN TO MERE DRANKERED MEN,THIS SHOULD BE WRITTEN IN THE WORLD WOMEN GUINNESS BOOK. who then will stand for us? Its only God Will stand with us.
  14. M

    Tuombe Mdahalo kati ya Zitto na Mbowe ili tuweze kujua nani Mkweli

    Namwunga mkono jamaa moja hapa JF aliyesema "hii ni moja ya thread ya mchangiaji asiyejitambua" midahalo haijengwi juu ya kujua nani amebeba ukweli na nani amebeba uwongo. UKWELI SIKU ZOTE HUJITENGA NA UWONGO. midahalo hujengwa na hoja dadavuzi kwa mada maalum iliyoundwa ili mshiriki...
Back
Top Bottom