Recent content by Mambo 9

  1. Mambo 9

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko sakata la elimu bure: Wakuu wa shule wagoma kuchukua mgao wa serikali, mambo yamekwama!

    Mtoa mada naomba jina LA shule Ili tufuatilie
  2. Mambo 9

    JamiiForums Tanzania Naanza kujutia maamuzi ya kumpa kura yangu Rais Magufuli

    Hayo mambo ni mfumo! Kuyaondoa kwa miezi mitatu ni ngumu, lazima itachukua muda kidogo Ila cha msingi tuendelee kushauri kupitia wabunge wetu tutafika tu.
  3. Mambo 9

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa SADC

    Tusipende kuishi kwa hisia Dr.John ana akili zake Halafu wadau viongozi wetu wote ngeli inapanda fresh tu. Tushukuru kwa kazi wanayofanya.
  4. Mambo 9

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM kuomba radhi bango la zanzibar

    Sasa wafanyeje? Kama sio kuomba radhi.
  5. Mambo 9

    JamiiForums Tanzania Polisi yawasaka wahariri wa gazeti la Mawio

    Magazeti mengine ngoja yaende lockup kwani ujumbe mwingine hata mlaji wa habari inakupa utata ukisoma Habari za uchochezi,fitna n.k hazifai
  6. Mambo 9

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu live star tv katika mada inayohusu Patrick Lumumba

    Leo SAA sita usiku wanazima mitambo kama hawatakamilisha malipo
Back
Top Bottom