Recent content by Mambaz

  1. Mambaz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nikitaka kubet kwa kutumia code apo juu nafanyaje kwa PM bet nataka niwatumie leo
  2. Mambaz

    Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    Hakuna tatizo mkuu.. Tunaweza kuwasiliana japo ni muda sikua active JF.
  3. Mambaz

    Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    Shughuli zangu kwa sasa nafanyia nyumbani kama freelancer. Pia kunakampuni moja ndio nalifanyia kazi Posta, Dar es Salaam. But mkataba wake na mimi ni kwa kazi. Tunalipana kwa kazi.
  4. Mambaz

    Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    Najua ni muda but bado nafanya tu independent tu kuendeleza maisha hapa jijini. Sikua active JF kwa muda kidogo. But kama bado upo interested tunaweza kuonana.
  5. Mambaz

    Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    Itategemea Namakubaliano tutakayoyafanya Mkuu. Ili Kila mmoja aweze kufaidika na iyo Patnership
  6. Mambaz

    Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    Habari Wakuu Wa JF, Nimekua Mdau wa JamiiForums, Kwa Muda Kidogo But leo, Nimeona nije niombe Kama Kuna mdau ambae anahitaji kuinvest katika upande wa Technologies ( ICT / IT ). Mimi Ni Kijana niliejiajiri kwa Muda Sasa katika upande wa Technologies. Na Kwa sasa ni Idea Mbili za Kiteknolojia...
Back
Top Bottom