Recent content by mamba24

  1. M

    Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi

    Mashauri ya kishaeria hayahitaji ushabiki wa kisiasa. Kinana hana lolote katika kesi. Ikiendeshwa kwa haki atashindwa Kwanini? Kesi inayotarajiwa kufunguliwa ni ya TORT(DEFAMATION). 1. Msingwa akiwa huko mwanza alisema, Meli ya kinana inasafirisha pembe. Kinana mwenyewe amekili mbele ya uma...
  2. M

    Malaysian Dev Model for Tanzania: Mtafaruku wazuka

    You editors be serious with the language you use to communicate your ideas to the public. Refine your English please!
  3. M

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    Maswali kwa ZZITO 1.Kwanini alipendekeza Lawakatare asimamishwe kazi ili kupisha upelelezi, bila kuzingatia rules of natural justice ya kusikiliswa(the right to be heard)? 2.Je ZZK aliongozwa na kanuni gani ktk kutoa pendekezo la kidharula lisilozingatia haki asilia ya kusikilizwa,kama hilo...
  4. M

    Sehemu ya II: Mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na gazeti la Jamhuri

    Hongera sana Ridhiwani kwa uwazi na uchumbuzi wa kina juu ya maisha yako na maoni yako mbalimbali. Very constructive ideas. Mimi nilikuwa namsikia tu huyu kijana. Kwa maelezo yake aliyoyafanya kwa hiyari yake bila due influence toka nje, naamini ni ya kweli. Hongera sana dogo. Unafaa kuwa...
  5. M

    Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

    Unasema hoja hii imekufa, je ameiua nani? Hoja hii bado ipo mbele yetu. Tuna haki ya kuijadili kwa masilahi mapana ya nchi tetu. Hoja nyingi alizoziibua Moma2k dhidi ya Dr. Slaa hazijajibiwa. Slaa ajitokeze kuzijibu(au wafuasi wake).
Back
Top Bottom