Recent content by Mamavivan

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya biashara ya juice ya miwa Kariakoo

    Nina Mungu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya biashara ya juice ya miwa Kariakoo

    Asante sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya biashara ya juice ya miwa Kariakoo

    Asante sana, Mungu akubariki
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya biashara ya juice ya miwa Kariakoo

    Nimechagua Kariakoo kwasababu ya ujirani na nnapokaaa niwe jirani kumsimamia kijana na kuwepo hapo muda wote kusave
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya biashara ya juice ya miwa Kariakoo

    Ndo wapi huko?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya biashara ya juice ya miwa Kariakoo

    Habari, nataka kuanzisha biashara ya juice ya Miwa kariakoo sasa Sijajua jinsi ya kupata sehemu ndogo tu iliyochangamka kwa ajili ya kuweka mashine na watu kusimana. Pia vitu muhimu vya kuwa navyo ukitoa mashine na glass. Na mbinu za kupata wateja. Naomba msaada kwa wenye uzoefu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ist, allex, runx, premio

    Budget yangu ndo hiyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ist, allex, runx, premio

    Nahitaji kununua gari aina tajwa hapo juu. Kama una aina yoyote kati ya hayo please pm. Budget 7m na naomba uwe mwenye gari na sio middle man.
Back
Top Bottom