Recent content by Mamamushika

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huwezi badili kituo chakufanyis interview wakisha pangs wamepanga Ndio maana unambiwa Uwe unabadilishw location kabla yakuomba kazi usipo enda ulipo pangiwa hutofanya maana huko unakotaka kwenda jina lako halipo
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ase Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi 💪💪 ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha 🤓🤓mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi 😆😆🥳 siku tumefukuzwa tulikuta tangazo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimeshangaa kasha saini Kaondoka Kafika mbele anatudi analia et mimi siendi huko
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishi😭😭 hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji 🤓🤓🤓
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu tofauti ya replecement na placement
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Usiku Sijalala nimeona isiwe ni ndoto niamke Nisije kojoa kitandani nyiii endeleni kuwa wanyeyekevu Mungu atawainua mimi bado siamini
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Lazima vimuli muli naenda hapo chapu Juma tatu Yani angekua wanafanya kazi jumapili ninge wahi asubui mapema
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimekula huko Asee ni muujiza kwangu Hata siamini
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona...
  10. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asali Zimepanda bei
  11. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mh watu wa alimashauri mje mtushuhudie sisi matomaso
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nyie wa tanapa safari ni ndefu mchujo wao sio wakitoto unapima afya, magonjwa yote kama unaijua mgojwa Usiende wanakupunguza baada ya hapo mnachapwa oral mnatulia ukipata Unaenda mafunzo ya jeshi lao miezi mitatu tena bila mshahara mafunzo magumu kama JKT ukifeli mafunzo unafukuzwa upati ajira...
  13. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    watu wa Business administration haikubali
Back
Top Bottom