Recent content by mamamkimbi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

    Shukrani mkuu (spoa) nitafanyia kazi ushauri wako...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kozi fupi ya kusoma

    Jamani mimi nimesoma mpaka Form six nimemaliza mwaka jana Div 3....sasa nataka kusoma kozi fupi fupi ambazo zitanifanya nipate ajira kwa urahisi. Naomba mnishauri nisomee kitu gani..... Vipi tourism wadau !?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

    Asanteni wadau...hata mimi nilikuwa na wazo la kufanya mambo ya tourism hope ita work out for me...many thanks
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

    Jamani mimi nimesoma mpaka form six, sasa nataka kusoma kozi fupi fupi ili nipatate kazi zinazo patakina fasta, nomba ushauri wadau nisome nini?
Back
Top Bottom