Recent content by mamamia67

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

    Ni kwani Mh. John Pombe Magufuli mke wake hampigii kapeni?. Huyu mama kajificha wapi? Naomba huyu mama ajitokeze ampigie kampeni rais wetu Magufuli kama anavyofanya mke wa Mh. Lowasa. Hii itasaidia kupata kura za wanawake.
Back
Top Bottom