Recent content by mamamaokoto

  1. M

    Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Acha kupotosha umma ushahidi wenyewe ni wa uongo kama unauhakika nao upeleke sehemu husika uchunguzwe huna looted umejawa na chuki kazi kujificha kwenye mitandao jitokeze na ushahidi wako ili watuhumiwa wawajibishwe sio kupiga kelele "kelele za chura hazimnyimi chura kunywa maji".
  2. M

    DOKEZO Waziri Dkt. Dorothy Gwajima mfuatilie Mwl. Mkuu S/M Kimandafu wilayani Meru, anafanya ukatili kwa wanafunzi

    Huyo mwalimu unayemchafua hapa ni mtu mwema sana anapokea maoni na pia anapenda majadiliano sioni sababu ya wewe kuamua kumchafua.Kama unakinyongo nae wewe useme tu maana si kwa kumuandama huku.Kwa shule inayopambana kudhibiti unyanyasaji na ukatili kwa watoto sio rahisi kuweza kumnyanyasa...
Back
Top Bottom