SMA nauza 55,000 kwa kopo minimum kopo 10
Cerelac ni gram 400 nauza 30,000 minimum kopo 5, au ukinunua na maziwa hata kopo moja unatumiwa.
Ukitoa order leo inafika TZ baada ya siku kumi, mzigo inatumwa kwa ndege kila ijumaa kutoka UK/USA na EUROPE
Karibu sana mkuu..!
Wakuu natafuta kiwanja cha bei poa maeneo tajwa hapo juu, kisiwe mbali na barabara kuu, Na prefer chenye hati au offer, Kianzie Square Metre 1000 kisizidi 1200, kikipatikana cha square metre 800-900 i dont mind
Natanguliza shukrani
N.B Nimekosea hapo juu ni Salasala sio Saladala
Nauz maziwa ya watoto aina ya SMA, APTAMIL na COW and GATE original kutoka UK, bei ni tsh 55,000 kwa kopo la mil 900, Naleta kwa order ambayo inachukua siku 10 unalipi unapopokea mzigo... For more info visit nunuatokauk au whatsapp +447917566270
KARIBUNI SANA
Pia nauza Cerelac kwa order
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.