mi kama dada yako nakushauri nenda kafanye interview tena kwa umakini maisha ni magumu yaweza fika kipindi ukatafuta kazi ya mshahara wa laki moja na nusu nenda ukaangalie hali ya hewa maisha ni kutafuta nenda huku unaangalia mishe nyingine zikijipa unasepa unaenda kwengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.