Recent content by Mama suki pawania

  1. M

    Nifanye nini kumsahau huyu jamaa

    Ni mtu ambae nimekuwa nae kwenye mahusiano, tukatokea kupendana sana lakini ghafla upepo wa kisulisuli ukatupitia akanipiga kibuti, jamani kuachwa kubaya hasa mtu unayempenda. Nimejaribu kumuomba msamaha na kumuahid kubadilika lakin jamaa amenikazia hataki mawasiliano kabisa. Nimejitahidi...
  2. M

    Mume wa mtu anamtesa mdogo wangu

    Wakuu habari za mihangaiko Mdogo wangu anenifuata kuzaliwa juzi kati nusu apoteze maisha. Sababu ni mume wa mtu kampiga kibuti. Huyu mdogo wangu ameolewa na anaishi na mumewe. Alikutana na jamaa ambae ni mume wa mtu kikazi na wapo karibu wanafanya kazi sehemu moja japo department tofauti...
Back
Top Bottom