Naomba uelewe mada hatupingani na serikali. Hata mimi natambua ardhi ni mali ya serikali. Tunachoomba ni kupewa taarifa rasmi. Ninavyoandika hapa kunA watu hata hawajui kAma kuna hichi kitu. UnafuAtwa mtu mmjamoja unaambiA tunaomba tuvyake tathamini ya eneo lako. Navyojua mimi lazima kwanza...
Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi.
Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa.
Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali.
Nipo na hali mbaya sana wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.