Recent content by Mama Pasco

  1. M

    JamiiForums Tanzania Falme za Kiarabu zinakuja kupewa miradi mingi

    Nchi ishauzwa hii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magerezani hali ni mbaya kunahitajika mageuzi

    Mama aliposhauriwa aachie baadhi ya wafungwa alisema nguvu kazi itapungua sababu dhaifu kabisa pia inashauriwa wajenge zaidi makambi na sio ngome ushauri ambao haujafanyiwa kazi kabisa Magereza ya Tanzania ni bora ufe ndio maana baadhi ya wafungwa wanatoroka ili wapigwe risasi wafe waondokane na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    A true son of the soil leo hii hata uswahilini Kuna lami na taa za barabarani ! Rest in power Magufuli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Hata jina lako linazungumzia ulivyo total rubbish
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Ruto kumkamata mkuu wa Kikosi cha Polisi kilichokuwa kinateka na kuua watu kinaonyesha UTU, CCM tumuunge mkono!

    Wote ndio walewale hamna kitu hapo ni danganya toto tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Killings in custody

    Askari Polisi wa Tanzania mikono yao imejaa damu ya Watanzania wenginwasio na hatia kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, siyo wanasiasa tu wanaoingilia Mahakama, tutatufte ni nini kiini cha Mahakama kuingiliwa

    Rais naye ni muongeaji zaidi kuliko utendaji
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, siyo wanasiasa tu wanaoingilia Mahakama, tutatufte ni nini kiini cha Mahakama kuingiliwa

    Jaji Mkuu aache kutisha watu ameshindwa kuinyoosha Mahakama akae kimya yanayotendwa na baadhi ya watumishi wa Mahakama yanatia kichefuchefu. Rushwa imetamalaki na inachukuliwa bila hata chembe ya woga Kuna hukumu ukizisikia huwezi amini masikio yako lakini baya zaidi Kuna chain ya kulindana ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kashfa ipi aliitoa Mwanaccm Levinus Kidanabi mtandaoni hadi kufungwa miaka?

    Jamani hakutukana ni kumkosoa Rais acheni kuongeza chumvi hata humu JF Rais anakosolewa daily kwani yeye Mungu hata asikosolewe?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kashfa ipi aliitoa Mwanaccm Levinus Kidanabi mtandaoni hadi kufungwa miaka?

    Wapi Kibatala umtetee huyu mtoto wa mnyonge wa nchi hii? Hilo Shari la kijani lisikutie hofu njoo uokoe jahazi vinginevyo watoto wengi wa wanyonge wataisha ,by the way yule aliyesema shetani yuko ikulu alifungwa miaka mingapi vile?
Back
Top Bottom