Recent content by mama-m

  1. M

    Natafuta kiwanja

    nina kiwanja kipo karibu na mvuti sehemu inaitwa kitonga. ukitoka mbagala unapanda gari ya mvuti unapita chamazi msongola unashuka kitonga. kinafikika kwa barabara. kilometa 2 toka barabara ya lami, ni tambarare. kina ukubwa wa mita 50 kwa 50 bei milioni 11. ni wilaya ya ilala tarafa ukonga...
  2. M

    Kiwanja kinauzwa kitonga ukonga dar es salaam

    nauza viwanja 20 x 20 kitonga dar es salaam bei 2000000/= kila kimoja. havijapimwa vinavikika kwa barabara na ni tambarare 0754 571000
  3. M

    Kiwanja kinauzwa kitonga ukonga dar es salaam

    Ninauza viwanja 6 vya ukubwa wa mita 20 x 20 bei 2,000,000/= kila kimoja. Viko sehemu moja namba yangu 0754571000 au 0784551259 ni maeneo ya kitonga ukitoka mbagala unapita chamazi msongola halafu kitonga. Unaweza kupitia barabara ya pugu chanika mvuti then kitonga. Ni kilometa 25 toka...
Back
Top Bottom