Recent content by mama kubwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Masare yasambukire😄
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Sumai aliedai Nchimbi ni yuda alifanywa nini? Ni wazi wanaotakiwa na Bi Msumi ni wale wanaosapoti mauaji ya October 29.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Nchimbi aliitwa Yuda kumbe siku zake zinahesabiwa hata hii Kuna namna🤨
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi hachunguziki CCM

    Mama yao alikuwa mnyakyusa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

    Du hii methali ndio naisikia leo😍
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jeshi la mtandaoni la JPM waliacha kusapoti awamu ya sita ya mama?

    Hivi kiwango hakijapanda tu? Maana jamaa wanahangaika sana😁
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mch Peter Msigwa: Wengi wa viongozi wa CCM na Serikali yao wanaonekana kucheka mbele ya kamera, lakini ndani wamejaa hofu, wasiwasi na upweke mkubwa

    Hapo sasa bora angebakia hukohuko hawa huwa wanaturudisha nyuma sana wakifeli wanarudi kutuhadaa tena. Atuache kwa kweli wanasiasa 'malaya' wanatuchelewesha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

    Tuletee na Kombo amepiga picha na nani wiki hii maana ndio propaganda pekee iliyobaki, Mapicha picha😅
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

    Hukuwa na haja ya kuja kulia Lia hapa kama una uhakika yataisha kilaini😄
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

    CCM na Samia wawajibike kwa yaliyotokea October 2025 ili tusiwekewe vikwazo. Mbona simple tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wanacheza vizuri, mkiingiza siasa mtaharibu

    Makonda amejaa damu za watu wasio na hatia. Ni chukizo yupo kwenye hiyo Wizara kuendeleza kupumbaza dunia kwamba Tanzania ni shwari. Watoto walizoea kucheza bila pressure na wanaleta matokeo walivyoingilia hao wauaji kila kitu kimeharika😉.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Machawa wa Zanzibar wanamwita Makamu Yuda!

    Haya yote Recho Dangwa huwa anasema. Nchimbi anatakiwa kuuawa. Mission imekuwa ngumu kwa ajili ya hali ya kisiasa sasa Wazanzibari wameanza kujitokeza hadharani. Wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Damu za watu zinalia na zitaendelea kulia mpaka kieleweke. YUDA pole sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Damu alizomwaga. Ananuka damu ataishia pabaya sana huyu kiumbe.
Back
Top Bottom