Habari za Jumatatu,
Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu.
Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja.
Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua...
Ni wa Baba kabisa.
Mbona kuna moja mama mmoja nafanya kazi nae ofisini. Alinisilimulia kuwa
Kuna watoto wa 3 walibadili jina la Baba yao la kati na la mwisho kwa sababu ya mambo hayo hayo ya urithi, na sasa ni wa kubwa hawana uhusiano na upande wa baba. Tema mama yao alinyang'anywa kila kitu...
Mimi nimewahi kushuhudia tukio moja hivi ni mda kidogo.
Mume alifariki bila kuacha mirathi.
Kwenye msiba yeye na mkewe walikuwa na watoto wa kike wawili na wakiume 1 hawafanani na baba yao kivile.
Ila kwenye msiba wakaja watoto wawili wakiume mapacha wamefanana na Baba yao vile vile mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.