Point. Insider tafadhali zingatia hili though naona it's too late maana umesema wataanza kupigiwa simu maana yake CV zishafika na kupitiwa na uongozi ila trust me hii ni mbaya mnooo! Imagine Iryn anapewa story halafu anaingia kusoma anakutana na baadhi ya sehemu ya story zenye ukakasi kama ile...
Umesema yote yaliyopo kichwani kwangu. You're smart kama jina lako lol! Imagine unaruhusu mpaka Mke ukimpa excuse za kazi anarudi kwa Boss wako kuuliza kama ni kweli.. what a disrespect! Sisi wanawake usipotuwekea mipaka au kuwa na misimamo mikali ya kiume saa nyingine lazima tukupande kichwani.
Bora umesema [emoji28]
Nilitaka kusema Insider mahela yote unayotengeneza jamani hata kama ni hela ya Uber ndio umpige na elfu 10 jamani? Halafu ulisema binti mzuri wa kishua, hata hela ya sabuni mwe!
Hapana Mkuu, hiki ni kilio cha mkereketwa tu. Lakini kwenye situation kama hii Secretary kuwa Mchepuko wa Boss kunazaa matatizo mengi sana hili likiwemo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.