Ujasiriamali ni stadi inayomuwezesha mtu kubuni na kuanzisha miradi mbalimbali ya uzalishaji mali kulingana na fursa zilizopo katika mazingira yake.Kuna aina nyingi za ujasiriamali kama vile kuuza mbogamboga,kutengeneza sabuni na nyinginezo nyingi.
Uzalishaji unaweza kuwa wa aina tofautitofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.