Recent content by malongwe

  1. malongwe

    Wana Yanga michango yenu inatumika kulipa faini za kijinga!

    Wewe unaichangia simba sh ngap? Bora mwanayanga anaichangia timu yake 1000 kuliko wewe huchangii chchte kazi yako kusifia hela za mwanaume mwenzio! Siku Mo akisema muiname mtapinga? -
  2. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Lkn siyo lazima huko tu hata hapa panafaa so uniingilie kwenye Uhuru wangu, usikute we mwenyewe ulipo hujaolewa -
  3. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Ukiwa na akili kidogo huhitaji kuuliza swali kijinga namna hii -
  4. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Anza chakwako kwanza -
  5. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Ndipo akili yako ilipoishia -
  6. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Siyo kweli, unataka kuniambia hata baba yako nae ni shetani? -
  7. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Mtu mwenyewe unaesema hivyo huna mbele wala nyuma -
  8. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Maamuzi tu -
  9. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Sina shida ya kazi nahitaji mume , kazi ninayo tens nzuri na yenye heshima -
  10. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Hpn Mkuu kila mtu ana Uhuru wa kuchagua anachokipenda -
  11. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Sina hofu juu ya hilo kilichonichelewesha ni Shule wala si vinginevyo -
  12. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    La mkosaji -
  13. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Ni uamuzi wangu binafsi atayeolewa n mm so nina uhuru wa kuchagua ninachokiamini -
  14. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Ni typing error tu Mkuu nilimaaanisha elimu ya juu -
  15. malongwe

    Nahitaji mume mwema!

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu! Ninaandika nikiwa na akili timamu na kujiamini kuwa mume au mke anapatikana popote panapokutanisha watu hata mitandaoni. Niseme kweli kwasisi wanawake kutafuta mume mtandaoni ni rahisi zaidi maana wale tunaonana nao uso kwa uso ni vigumu...
Back
Top Bottom