Recent content by MALLE JR

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Rushwa na ubabe watawala uchujaji wa wagombea CCM Moshi Vijijini

    Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania wingi wa wafanyabiashara kukimbilia fomu za ubunge ccm kulikoni?

    Toka zoezi la uchukuaji fomu lianze jana Juni 28, 2025 imeonekana idadi kubwa ya wafanyabiashara vijana kwa wazee wameonesha nia ya kutaka ubunge kupitia CCM. Kidemokrasia ni haki yao na afya pia kuonesha chama hiki kinaungwa mkono na makundi mbalimbali lakini hofu yangu isije ukawa mkakati...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyemshinda Kimei kwenye kura za maoni ndani ya CCM uchaguzi wa 2020 atangaza nia tena

    Mtoto wa mfanyabiashara Zadock Koola aitwae Enock Koola aliyeongoza kura za maoni mwaka 2020 ndani ya CCM kwa tofauti ya kura 6 tu lakini akakosa uteuzi wa vikao kwa sababu za kimaadili alisusia kabisa vikao na mikutano mbalimbali iliyoitishwa na kamati za siasa wilaya ya moshi vijijini na mkoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee wa mila wamuunga mkono Dkt Kimei kwa kishindo Kahe Magharibi

    Na Mwandishi Wetu, Kahe Wazee wa mila wa kabila la Wakahe na Wamaasai kutoka Kata ya Kahe Magharibi, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngasini, Mhe. Goodluck Meshack Mlay, pamoja na wazee wa Mila akiwemo Andasoni Kireja, Godsoni Samweli, Peter Melisoki na Laigwanani David Laiza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Baada ya Balozi Dkt Emanuel John Nchimbi kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni wazi Mkutano Mkuu Maalum wa tar 29&30 Mei, 2025 utatoka jina la kada atakayevaa viatu vya Katibu Mkuu mpya wa CCM Taifa atakayerithi nafasi ya Balozi Dkt Nchimbi. Ni saa 48 zimesalia, upi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Enock Koola akataliwa nyumbani Vunjo

    Mtia nia wa ubunge Vunjo aitwaye Enock Koola siku ya Jumamosi wajumbe wamemgomea kuonana nao licha ya kurudi mara 2 akidhani patakua na nafuu. Kadhia hiyo imemkuta katika kata yake ya nyumbani ya Mwika Kusini.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi CCM Moshi Vijijini anavyobeba watia nia majimbo ya Moshi Vijijini na Vunjo

    Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti. Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas...
Back
Top Bottom