Recent content by malkia chipukizi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusiana na maji ya mochwari ya kuoshea miili ya marehemu na matumizi yake kwenye kitoweo cha samaki wa kanda ya ziwa

    Ahsante sana bro kwa kuwaelimisha watu, nilitamani kufafanua lakn mi si muandishi mzuri, Kwa upande wa pili pia inasemekana maji ya maiti (yale yanaosha maiti)ukiachana na fomaline wapo baadhi ya watu hutumia katika shiriki kwa upande wa wavuvi hufanya yao ili wavue samaki wengi HIVYO BASI kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

    Huwezijua hata hao wa maji chumvi wavuvi wanatumia nin ktk kuvua samaki ni kwavile leo umesikia hili lakin nakwambia yapo mengi usiyoyajua na yanaendelea ktk vitu vingi tunavyotumia.
Back
Top Bottom