Recent content by Malishale

  1. M

    JamiiForums Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

    Bro Weusi ni Taasisi rasmi kwa maana ya Company, Logically Weusi hawapo kushindana na MTU Bali wapo kibiashara zaid so unapoanzisha battle hambalo kimsingi halina mashiko kwenye muktadha wa biashara basi jua unapoteza rasilimali zako ikiwemo muda,,,Hao Kikosi Kazi sawa wanaijua Hiphop hilo...
  2. M

    JamiiForums Dollar ya Marekani inashika nafasi ya tisa kwa thamani duniani

    Ki Kimsingi katika kitu watu hawafaham basi ni wanavofikiria kwamba hela ikiw na thaman kubwa kuzid zingine basi ndio nzur, la hasha haiko ivo,,,naomba turud darasan katika Finance kidogo, iko ivi: Ili nchi iwe na uchumi mzur na wenye ticha kuna baadhi ya maswala ya kiuchumi yanapaswa...
Back
Top Bottom