Recent content by Malipesa

  1. Malipesa

    NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

    Kimsingi alichosema Nape na kwa nafasi yake ni sawa. ningeshangaa sana kama angesema ni pigo kwa chama.
  2. Malipesa

    Wajumbe 25 kati ya 32 wa kamati kuu ya CCM

    Tunasubiri Oktoba 25
  3. Malipesa

    Hofu ya Mbowe na CHADEMA juu ya Zitto

    Hizo ndo sihasa
  4. Malipesa

    Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Kuna jambo ambalo hawa CCM bado hawajalielwa, labda ni kwa kuwa na uelewa mdogo ama wanafanya makusudi. kwanza watanzania wa leo sio wale wa miaka ya 50. Miaka hiyo ya 50 walikuwa wachache kufanya hila na udanganyifu ni rahisi ila kwa sasa ni ngumu sana. hiyo sio hoja yangu ya msing! Hoja yangu...
  5. Malipesa

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    ni kilaza, hata yeye anajua hilo.
  6. Malipesa

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    it makes no sense. hiyo hoja iliyotolewa na tbcssm haina mashiko yani ni bora wakae kimya tu.
  7. Malipesa

    Kuvurugika mkutano wa kinana kigoma-tafsiri yangu

    kwani huyo nape ndio nani, naona anaongelewa sana hapajf.
  8. Malipesa

    Mbunge wa Busanda (CCM) soma hapa

    Kwani mbunge anahusika vipi na ujenzi au shughuli nyingine za maendeleo? Tuna haja ya kufahamu kazi za wabunge kabla hatujaanza kuwatupia lawama.
  9. Malipesa

    Dr. Slaa: Baraza jipya limechoka kabla halijaanza kazi

    akili ya kuambiwa ....... changanya na yako (J. M. K)
  10. Malipesa

    Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

    hii ndio tz bhanaaa
  11. Malipesa

    Gharama za uchaguzi wa kenya zatisha

    Umekurupuka, sio TShs. Trillion 20. Tafuta data sahihi!!!
  12. Malipesa

    Nape azomewa mkutanoni Kasulu

    That is African politics.
Back
Top Bottom