Recent content by Malinyingi

  1. Malinyingi

    GE2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

    Vibaraka mpo? Mnasalimiwa na Mike Pompeo #Repost @millardayo @download.ins --- Rais Donald Trump wa Marekani ameonekana kujiepusha kukubali kukabidhi madaraka kwa amani endapo atashindwa katika uchaguzi wa Rais November mwaka huu, amesikika akisema wataangalia kitakachojitokeza akijibu swali...
  2. Malinyingi

    GE2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

    Tatizo la Huyu Kijana, ni mwoga sana, yeye anatishia kuvuruga Amani na kuhamasisha vurugu Kwa kisingizio cha matokeo. Kwanza yeye ana uhalali gani wa kushinda uchaguzi ambao wengine hawana? Amesikika Kigoma akisema kwamba Mkosamali awamuru wananchi waingie barabarani kudai ushindi. Kwa hiyo ata...
  3. Malinyingi

    GE2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

    Wanatangza wao wenyewe mitaani halafu wanasema wananchi wamekuja wenyewe bila kutangaziwa...wakati mwingine tunajidanganya sana. Wanakesha wiki mzima kutangazia watu Ohio wa viongozi wao
  4. Malinyingi

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Inawezakana kweli mtu akakuachia umchape za uso, Je wewe umechapwa za wapi? Tuambie
  5. Malinyingi

    GE2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

    Tatizo ni moja tu mililo nalo, mnataka kubeti hadi kwenye Maisha yetu..
  6. Malinyingi

    Rais Magufuli kupata 'Ujumbe Muhimu' kutoka kwa Tundu Lissu

    Amka kumekucha Sasa...acha hizo ndoto zako za alinacha bin abou nuwasi.
  7. Malinyingi

    Team Membe akiwemo Nape, January, Makamba mbioni kufunguliwa kesi ya uhaini kutaka kumdhuru na kumpindua Rais Magufuli

    hawa vijana ni kati ya watu wenye tamaa na uchu mbaya wa madaraka, wakati wao walivumiliwa watawale, walitawala na walifanya yote watakayo pasipo kuguswa. Yusufu Makamba ana lalamika nini? Kinana analalamika nini?
  8. Malinyingi

    Morogoro: Mwanafunzi ajipiga risasi ya kichwa ikidaiwa kuwa ni kutokana na msongo wa mawazo

    Sometimes Wameisha fanya Kazi yao hao wana intelijensia
  9. Malinyingi

    Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

    Angalia Dada usije ukaingia kwenye mkumbo wa watakao kufa mwakani...kibapa hatanii:D:D:D
  10. Malinyingi

    Tetesi: Mh Polepole kuna 100% aweza kamata jiji....

    Tatizo letu tunataka kila mtu afurahishwe na utendaji wake , Hilo ni jambo lisilo wezekana, lazima kuna baadhi watapinga kwa sababu zao binafsi, utumishi uliotukuka unaanza kuonekana sasa!
  11. Malinyingi

    Wananchi wa Rungwe mkoani Mbeya wakataa madawati baada ya kubaini yametolewa na mtu wa CCM

    Inawezekana waliyapeleka asubuhi sana bado walikuwa ''wanapasha kiporo'' wanazimua za jana
  12. Malinyingi

    Wananchi wa Rungwe mkoani Mbeya wakataa madawati baada ya kubaini yametolewa na mtu wa CCM

    Acha uongo wewe, kwa nini wanafunzi wanakaa chini? si wangekuwa wamechangishana siku nyingi?
  13. Malinyingi

    Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Mhh watanzania bwana, kwa hiyo mwenyekiti wa chadema achague moja kati ya haya, awe Tu mkwe wa mwenye chama, awe TU mbunge au awe Tu mwenyekiti wa chama..maana yeye ana vitatu
  14. Malinyingi

    Paul Makonda aagiza kusitishwa utolewaji zabuni kwa kampuni 4 za ujenzi

    Tofautisha maagizo na AMRI, sisi watanzania wanafiki sana. Sisi sisi ndio tuliokuwa tunalialia kwamba hizi barabara zimehujumiwa, zipo chini ya viwango, leo maamuzi magumu yanachukuliwa tena ni yale tunayo yalilia kwa muda mrefu. Mara tumesahau kwamba ni sisi tuliokuwa walalamikaji wakuu
Back
Top Bottom