Recent content by malikia balqiis

  1. malikia balqiis

    Je ni kweli kabati nyeupe halifai?

    Asante dear mana wamenitisha ao duuh napenda nyeupe
  2. malikia balqiis

    Je ni kweli kabati nyeupe halifai?

    Habar zenu wadau ninaprnda kabati jeupe la nguo na nina mpango w akununua katika pita pita zangu nikaona mtàndaon wanasema eti rangi nyeupe inawai kufubaa haifai naombeni ushauri wenu je ni kewl kabat nyeupe haifai ???? Nimeogopa kwakwel embu wazoefu mnipe ushauri
  3. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Tunafundwa na kungwi dear ndani Sio nnje kw sisi wqislam binti akikaribia kufunga ndoa anafundwa vzr KBS na mama MTU mzima wa kiuitwa kungwi kuanzia Usafi ,jinsi ya kumuhudumia na kumjali mume ,heshima ,tabia njema mahaba NK
  4. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Sio kweli Sijakulazimisha uamini Amini unacho Amini message sent
  5. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Nisjawa Mbn mi nshaolewa mume alifariki na Nilikua natimiza majukum yng km Mke na kuusu watoto Mbn nimelea vzr TU acheni uvivu bwana Mbn sisi tumeweza na Mabibi zetu waliweza Tena Bila msaidizi uvivu TU unawasumbua watoto ndo wkaufanye usitimize majukum visingizio TU ingekua ivyo mama zetu...
  6. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Three and four Jina limenoga kama supu ya wanayanga weee huogopiiiii le madam kingwi mjane 😍
  7. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Umenivunja mbavu Aya Karibu Somo Wangu by kungwi mjane 🤣🤣
  8. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Ushanibatiza na jina nimeipenda iyo 😍
  9. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Kabisa yani Sio matege TU ATA upofu mtapata
  10. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Nd Ndo mana mnaibiwa waume zenu na mahousegirl hamtimizi majukumu yenu kabisa mnataka Haki sawa kw wote Mbn mabibi zetu walifanya Kazi zote wenyewe nq watoto wakakua na NDoa zikadumu
  11. malikia balqiis

    Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

    Afu ujaeleewa Mada wewe Uyo mke hafanyi majukumu Yake kila kitu anafanya house girl elewa somo house girl ndo analea watoto na kuhudum mume wa boss kw kila kitu afu bado unatetea upuuzi ndo mana mnaibiwa waume zenu na mahousegirl sikuiz wanaume wamesanuka wanaoa housegirl ndo anawajali wanaoa...
Back
Top Bottom