Recent content by malenga wetu

  1. M

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Hii ya kontena 2400 mbona kama umeongeza chumvi? Una uhakika na hii habari au umeskia kijiweni? Au umeandika tu ili upate comments
  2. M

    Familia ya Pombe Magufuli yatinga kwa TB Joshua

    TB Joshua anapiga kura? au ni CCM? unataka tujifunze nn labda
  3. M

    Nimepigiwa simu na Dr Magufuli akaniomba kura

    Push-up hazijasaidia??
  4. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Bennie 369 kula wakati naenda kulala ina uhusiano gani na hiyo ndoto?
  5. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Pasco naomba kuifufua hii mada japokuwa ni ya siku nyingi. Naomba unipe ufafananuzi kidogo. Kipindi cha nyuma nilikuwa nikitembelea maeneo fulani akili yangu inaniambia nilishaona hilo eneo before. Wakati mwingine nimuona mtu kwa mara ya kwanza lakini kumbukumbu zinanionyesha nimewah kukutana...
  6. M

    Uzinduzi wa kampeni za UKAWA kesho, Mamlaka ya hali ya hewa yakanusha kuwepo mvua kubwa

    Mamalaka ya hali ya hewa imekanusha taarifa zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii kwamba kesho kutakuwa na mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali maeneo ya dar-es-salaam kuanzia saa saba mchana. Taarifa hizo sio za kweli na zimelenga kujenga hofu kwa wananchi ili wasiweze kuhudhuria uzinduzi...
  7. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    huo uwenyekiti huenda hata asipewe
  8. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Mlango wa safina unaelekea kufungwa. Magufuli popote ulipo wahi before its too late.
  9. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Kupata kichekesho kingine kama hiki tuma neno "KICHEKESHO" kwenda namba 12513 FaizaFoxy
  10. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    U have a point, sasa jiulize aliejeruhiwa ni nani kati ya magufuli na lowassa?
  11. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Kwa lile nyomi la jana jamaa hakupata usingizi. Anajuta kuchukua form
  12. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Mtu mwenyewe kingereza kinapiga chenga kama Nuhu Mziwanda
  13. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Daudi Mchambuzi CCM wamepanic mbaya
  14. M

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    MOLAM kama huu ni uongo leta ukweli. Mwaka huu mnalo
Back
Top Bottom