Recent content by malemwa

  1. M

    Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Ni huzushi na uongo mkubwa sana Watu wa Chamanzi watu wa Mbande watu wa Kisewe wqnamaisha mazuri km wa Goba au kuwazidi Ukienda maeneo ya Chamanzi Kuna Night club zinajaza watu mpaka asubui usalm usingekuwepo siwangekuwa wanakabwa Kwa ufupi uko panya road walikuwa wanawasikia
  2. M

    Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Hapo Catalunya Kuna mtu kafungua upya anapaita Darmarn Reustaurant Wanamisosi mitamu nimepita juzi
  3. M

    Kituo cha Polisi Salenda na hao wakamata bodaboda hapo pembeni yenu

    Buguruni kwenye mataa ndo wanakela wanazima boda na kutoa funguo hawajali aliyepakizwa anawai Wala Nini hawana hata semina kikubwa kwao pesa
  4. M

    Dar: Mkuu wa Mkoa, Amos Makala aagiza Mabasi yote kushushia abiria Stand ya Mbezi

    Anajua watu wanoa Ishi mbagala chamanzi Twangoma Wanavyoteseka na ilo stendi ya Mbezi Wanao taabika ni Pato la chini mtu mmoja ananiambia akitoka safari anafika dar uck sana na gari likishusha Shekilango akichukia tax mpaka chamanzi ni 35000 mpaka Sasa mfikirie huyo akishushiwa mbezi usiku...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Ndo maana watumishi wengi wanaogopa kupiga kura et wanaogopa kuangaliw
  6. M

    Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Ukiwa Mwanza Bk na kwingineko ni bure ila Dsm ni pesa Hasa hospital ya Rang tatu na viunga vyange na Temeke pia na ukitaka kuumia mkeo afanyiwe upasuaji Ukitaka kufyatua ni mkoani na sio dsm
  7. M

    Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen amesema Tanzania ni kielelezo amani Barani Afrika

    Wanajipendekeza ili waonewe huruma kwani kampuni yao mama ststiol Tanzania ilipigwa pini Wanahaha kuona km Equinor itatiki vizuri make wameishaikatia tamaa
  8. M

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Nimeangalia jana star tv sikuona habari ya Lisu kwenye habari yao
  9. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

    We acha kuongea uongo Hiyo barabara imeisha mmeshindwa kumaliza ya Rubya to Muleba mwaka wa nne sasa kilometre kidogo mtaweza ya nshamba? Kituo kipi cha afya unachobwabwaja nacho Nshamba kuna kituo gan tofauti na kutegemea cha Lutheran na hospital ya Rubya uwe na oja ya msingi Na pesa...
  10. M

    Vodacom gharama za vifurushi vya internet kuwa mwiba kwa watumiaji

    Gb 1 wameikimbiza mpaka nkashangaa Kulikuwepo na kifurushi cha wiki cha 2500 mitandao yote jana nakuja kujiunga nakuta et dk 70 nazo zinatumika kuanzia saa nne uck mpaka saa kumi na moja nkajiuliza nimekuwa mwanafunzi mie voda mnakela
  11. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

    Mkumbushe Tibaijuka barabara ya Muleba Rubya kaitelekeza miaka minne kilometa 100 na point hazijaisha watu wanateseka
  12. M

    Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Kuwaisha mshahara sawa, ila ajira hapana Kuongezewa mshahara hapana labda km mliongeza kwa kujuana na kuitana mezani kumpandishia mmoja mmoja Kuhusu kupandisha madaraja apo janga ila yaweza mlio watuma ndo walibugi Mikopo labda km ni watumishi wa serikali kuu ndo mmewapa ila hawa wa chini...
  13. M

    Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari

    Wapinzan wawe makini Wasisahau waganga wa Simiu Uenda wanafanya yao
  14. M

    Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

    Mwanza pale kuna ziwa kuanzia kisesa Busekwa Nyansia uko maji hamna wanachota kwenye madimbwi ya mifugo Imekaliwa na ccm Nenda mkoa wa kagera Muleba Wamezungukwa na ziwa Hamna maji vijiji vyote kuanzia wilayan naomba ccm wawe wapinzan hawamu moja wajifunze na waache dharau
Back
Top Bottom