Recent content by Malcom the X

  1. M

    Waziri wa Elimu okoa wanafunzi wa Algeria

    Mpaka lini wanafunzi wa chuo tunaosoma nchini Algeria kwa udhamini wa serikali ya Tanzania tutaendelea kuteseka kwa kucheleweshewa fedha za mkopo ? Tabia hii imekubuhu na inatunyong'onyeza sana na kuififisha imani yetu juu ya serikali ya nchi yetu na kutufanya tujiulize kama kweli serikali yetu...
  2. M

    Wanafunzi tunaosoma Algeria kwa Udhamini wa Serikali, tumecheleweshewa Mikopo, hali ni mbaya

    Mpaka lini wanafunzi wa chuo tunaosoma nchini Algeria kwa udhamini wa serikali ya Tanzania tutaendelea kuteseka kwa kucheleweshewa fedha za mkopo ? Tabia hii imekubuhu na inatunyong'onyeza sana na kuififisha imani yetu juu ya serikali ya nchi yetu na kutufanya tujiulize kama kweli serikali...
Back
Top Bottom