Recent content by Malcolmx Shabaaz

  1. Malcolmx Shabaaz

    IKULU: Waziri Mkuu Mstaafu, Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli; akiri Rais anafanya kazi nzuri

    LOWASA ni CCM, ndiko alizaliwa na kukulia, mnashangaa vipi akirudi? Pia ukiwa CCM siyo fisadi ukienda tu upinzani unakuwa fisadi! Hongera CCM kwa kazi nzuri.
  2. Malcolmx Shabaaz

    Bundi CHADEMA na Wakati wa Malipo - Lowassa Huyu Huyu?

    Wewe chizi, usimuingize TUNDU LISSU katika ujinga wako huu; huyo shetani wenu anayepiga watu risasi amewaroga ntie, mad dog!
  3. Malcolmx Shabaaz

    Lowassa ni bonge la Mastermind katika Siasa za Tanzania

    Nothing can stop OPPOSITION PARTIES! Tumieni pesa kuhonga, kamateni wapinzani, wapigeni mapanga, pigeni risasi, filisini mali zao; kamwe UPINZANI hautakufa! CCM ipo kwa kudra za POLISI, TUME FEKI YA UCHAGUZI na WATU WASIOJULIKANA!
  4. Malcolmx Shabaaz

    Tanzania inamhitaji Magufuli kuliko Magufuli anavyoihitaji Tanzania!

    Sibishani na wajinga; wewe na bosi wako wote mbuzi tu
  5. Malcolmx Shabaaz

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mchukie mama yako, acha ujinga huo mbuzi wewe
  6. Malcolmx Shabaaz

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Wewe piga kura mwenyewe usitulazimishe kupigia kura mhalifu, atubu kwanza.
  7. Malcolmx Shabaaz

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Asante tajiri wa fikra, atakuwa basha wako ndiyo maana unamtetea, idiot!
  8. Malcolmx Shabaaz

    Lissu: Hakuna upelelezi unaoendelea kuhusu shambulio dhidi yangu; Ndugai adai vurugu zilimzuia kwenda Nairobi

    Aibu kwa Dikteta aliyewatuma wauaji! Mungu anajibu, Mungu anaishi!
  9. Malcolmx Shabaaz

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    How comes umpigie kura dikteta? How comes umpigie kura muuwaji? Acha masikhara wewe......!
  10. Malcolmx Shabaaz

    MBOWE: Kama CCM inaona vyama vya upinzani ni hasara, wana wingi wa kutosha bungeni, wavifute

    Kubishana na mtu wa CCM ni laana! Ni ngumu sana kumwelewesha shabiki wa wauaji, sepa zako Lumumba mkapange kupiga wengine risasi.
  11. Malcolmx Shabaaz

    Kwa heri 2017, kwa heri maumivu!

    KWA HERI MWAKA 2017, KWA HERI MAUMIVU! Mwaka 2017 umemalizika leo tarehe 31.12.2017. Tuliuanza wengi, baadhi yetu tunaumaliza huku wengine tukiwa tumewaacha njiani, hawajafikia mwisho! Mwaka 2017 umekuwa wa mafanikio kwa baadhi ya watu (wachache sana) huku watu wengi wakiwa wameachiwa maumivu...
Back
Top Bottom