Recent content by malamula

  1. M

    Lowassa aunda Timu ya watu watano kukabiliana na nguvu ya Magufuli Kanda ya Ziwa

    Unawaharibia sana wana ccm kwa kuwatukana wana cdm, chunga ulimi na unachoandika. Ulimi unatoa maneno yanayoweza kufisha nafsi.
  2. M

    Mikakati ya kulinda heshima ya mgombea urais wa CHADEMA yaendelea, sasa ni kuhusu muda wa kuzungumza

    Heri ugonjwa wa mtarajiwa kuliko ugonjwa wa kutojua jema na baya
  3. M

    Hii ni funga kazi

    Kamua kufanya shortcut. Mzao mmoja anafunga kizazi. Wanatosha
  4. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kwa umri wa mtoa mada ni haki yake kuchoka. Prof ameuliza kama jambazi moja limewatoroka wenzake na kuja kueleza mipango ya majambazi waliobaki mafichoni mtaliua au mtalitumia ili mpate kujua mbinu za majambazi?
  5. M

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Tutampaje MTU asiyejua shida zetu, ili iweje, tupige mbizi au tukauziane mali ya Wa Tanzania kama alivyozoea? La hasha hatumpi ng'o. Uraisi,ubunge,udiwani na serikali za mitaa vyote mali ya umma kupitia UKAWA.
  6. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kwa uwezo wako duni wa kudadavua mambo ulitegemea kumwelewa Prof. Hata kutafakari kabla huna uwezo nako lakini una haki ya kuchangia hata kama mchango wako hautakuwa na matokeo.
  7. M

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Ccm na ufisadi uliotukuka unakimbiwa lakini unajichimbia na kuficha uso kama mbuni. Come up anza angalau hata kunawa.
  8. M

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Old enough to be mentally active. Bongo lala you're still in the 1947s era.Poor you!
  9. M

    Utabiri wa atakayekuwa rais mpya wa TZ huu hapa

    Mleta hoja za miti mirefu tafadhali acha kutupotezea muda na ramli zako. Bado unaishi dunia ya giza, wenzako wanafanya utafiti wa kisayansi we unaenda kwa toboa tobo halafu unategemea mabadiriko?
  10. M

    Taswira ya Mwenyekiti wa CCM Yaashiria wasiwasi, hasira au chuki?

    Hata Katibu mkuu kachoka, kazeeka ghafla na kapoteza nuru pamoja na tabasamu. Nawaonea Huruma, mambo yamekuwa mazito.
  11. M

    Ipe neno hii picha

    Maisha bora katika ubora wake.
  12. M

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Ni kwa sababu ya kuvimbiwa wanafikiri Tz ni yao peke yao na sisi wengine wapangaji toka nje ya nje. Uwezo wa mleta mada ni mdogo mno ni afadhali kumsamehe tu. Mara zote mwenye busara habishani na mwenye upungufu kama alionao mleta mada.
  13. M

    Lowasa amezika upinzani asilia (original)

    Basi washauri wamrudishe ccm awe mgombea wao halafu Magufuli ajitoe uone matokeo
  14. M

    Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    Njia bora ya mafanikio ni kuwa mkweli na kuwaheshimu wengine. Kuwaminisha watz kuwa el hana wafuasi wakati tunaona ni kutufanya wajinga wa 1947. Pole kwa mshituko!
  15. M

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Ni makosa unanza kufanya kijana wangu, jitahidi sana kusmamia unachoamini acha kutumiwa na wanasiasa utapoteza heshima uliyokwisha vuna. Heshima hainunuliwi kwa pesa.
Back
Top Bottom