Sio kwa kusomesha wajawazito kwa ghalama ya serikali, tuwe na uelewa, kwa hilo maana hakuzuhia masomo ya QT wala masomo ya kujilipia. hapo ana tukumbusha tuongee na watoto wetu mara kwa mara ilikuweza tambua mwenendo na si mradi mtoto yupo shule ni mtoto wa shule na si wa mtu fulani aliye...
Katika Mh. Rais anatukumbusha kuboresha malezi ndani ya familia zetu na si vingine wazazi na walezi tulijisahau sana ktk usimamizi mzima wa malezi kwa watoto wetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.