Recent content by makwagejo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tungeweka progressive score 00% au total score 20% October 29,2025 nani angepanda daraja la urais? Mwalimu mmoja amehoji

    Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani, Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe kwa hiyo jitahidini muwe mnajaza progress kotekote kwa haki, Ombeni time sasa ichunguze kwa nn...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona lengo la TEC ni kunawa mikono kwamba tulionya kabla na tumeonya baada Kwa wazi Kwa Siri damu iwe juu vichwa vyenu wenyewe

    Na mm niliwaza hivyohivyo,kitakacjotokea wasilaumiwe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenda Tezi na Omo marejeo Ngamani-TEC Wameelewa,Bado nani Hajaelewa?

    Ipo hivi Kuna siku kitima alisema nchi Ina corona na alimchana jpm makavu mwisho wa siku jpm alisepa sasa nadhani baada ya hapo mtaona kinatokea nn?mara nyingi hawa maskofu inapofikia hatua wanakua soft basi jua kuna jambo linakuja,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

    Jamani kama nimeteleza nisameheni,ila mm mimekutana na kijana ana miaka SITA Hana ajira vip atakua na kumbukumbu za taaluma yake?
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-DED, maofisa Utumishi wadaiwa kuzuia walimu kujitoa CWT, kujiunga na vyama vingine

    Siyo hivyo TU hata makampuni ya fedha kama maboto ukiba balance uwalipe ni mgogoro mkubwa. Utadhani MABOTO nchii hii yupo juu ya sheria kuna ushahidi wa walimu kunyanyaswa sana,BOT tunaomba wachukue hatua maana Sheria IPO wazi,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

    Kuna vijana wengi mitaani wanasubiri ajira lakini hakuna ajira ,ili waendelee kusubiri lazma tutafute utaratibu wa kuwakopesha kwa degree ya pili hii itaondoa vijana tegemezi kwenye familia zetu,maama hawana KAZI ya kufanya wanakula ugari tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Hebu jiulize nurse anapewa million 28 akistaafu,kikokotoo ni ridandance tosha kwa mtumishi mwenye akili anapaswa kuachaa kazi mapema sana,serilkali haisemi tu kwamba watumishi wapishe,ila ujanja ujanja inaleta mifumo ambayo watumishi wachukie kazi,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

    Inaposema the rise of terrorist groups inamaana serikali Yako IPO kwenye majaribio ya mapinduzi,maana yake inchi haipo kwenye usalama
  9. M

    JamiiForums Tanzania Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

    Kuna historia ya Tanzania na maadili akipatikana mwl mzuri ni shida sana ,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asha Rose Migiro ndiye Katibu Mkuu Duni zaidi kuwahi kuhudumia CCM

    Ninachokiona kabisaa ccm is in incubation stage
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa PEPMISS mnaokwenda Dodoma hakikisha umepewa ruhusa na mwajiri wako

    Viongozi wa Cwt wanajibu hoja mahakamani kwa ufisadi unadhani nani atakusemea,nawashauri twende katoro O
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa PEPMISS mnaokwenda Dodoma hakikisha umepewa ruhusa na mwajiri wako

    Viongozi wa Cwt wanajibu hoja mahakamani kwa ufisadi unadhani nani atakusemea,nawashauri twende katoro RIZIWANI ALIKUA TABORA ILA HAJAELEWEKA MAELEZO YAKE NA MAELEKEZO,WANALAUMIWA AFISA UTUMISHI,BADALA YA MASHARITI YAO YA PEPMISS SCORE,HARIIIIIIII JAMANI NASHAURI TUTAFUTE NAULI TUSEPE KATORO...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa PEPMISS mnaokwenda Dodoma hakikisha umepewa ruhusa na mwajiri wako

    Viongozi wa Cwt wanajibu hoja mahakamani kwa ufisadi unadhani nani atakusemea,nawashauri twende katoro O
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa PEPMISS mnaokwenda Dodoma hakikisha umepewa ruhusa na mwajiri wako

    kuna jamaa ameamua kuondoka aisee hii imepoteza utulivu kwa watumishi wetu
Back
Top Bottom