Recent content by Makuti Malubu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

    Haaaaaha haaa ! Mwenye nguvu duniani anaweza kufunya lolote na asifanywe lolote.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    YUPO MUNGU MTETEZI WA WANYONGE. HATA KAMA WALIKUSHUSHA NA KUKUWEKA MWISHO KTK ORODHA. MUNGU ANAWEZA KUKUWEKA WA KWANZA KTK MATOKEO. YUPO MUNGU MTETEZI WA WANYONGE
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Leo ni siku muhimu kwetu, tukapige kura

    HATIMA YA KESHO NA MALALAMIKO/MACHUNGU KILA MTU AMEKUTANA NAYO. TUPIGE KURA ZETU KUYAONDOA NA KUJILETEA UNAFUU WA KESHO YETU. EE MUNGU TUSAIDIE
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu dume la ng'ombe analolichinja halifungiki kwa kamba. Japo litakata roho lakini mateke yake lazima yamjeruhi.

    Eeh MUNGU tusaidie. Ninapomwangalia TAL ninakushukuru kuwa wewe Mungu ni wa miujiza na pia kuna hazina umeweka ndani yake ajili ya Taifa hili
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Sio wewe peke yako. Ee Mola Tuokoe dhidi ya Machungu yote yanayotukabili na yaliyotukabili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Fredrick Onael Shoo ashinda kuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT

    Endelea kunyenyekea ktk mkono wa Mungu ili akuinue zaidi Baba Askofu. Tenda kwa Haki kama Mungu wako alivyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Ubunge wa Lissu: Serikali yamwekea mapingamizi. Yasema baadhi ya maombi yake hayakidhi matakwa ya kisheria...

    Mungu si Mwanadamu hata aseme Uongo. Zab 33: 16,17, 20 Farasi hafai kitu kwa wokovu wala hamponyi mtu kwa wingi wa nguvu zake. Nafsi zetu zinamngoja Mungu yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu. Hakika Haki huinua Taifa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    Inabidi waje mijini - Ila watapata taabu sana kwani hata mjini maji ni janga kubwa. Huna mia 5 hupati dumu la maji maeneo yetu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

    Nchi huru haitishwi na kelele za wahisani. Tuna raslimali nyingi za kutosha. Land, Capital and Labours
  10. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya kuzaliwa Beni Saanane huko uliko

    Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote. Una ugonjwa wa kufisha ni nani awezaye kujua ? Kila jambo siku hiyo litaletwa NURUNI mbele za Mungu.
Back
Top Bottom