Recent content by MAKUNJA1

  1. M

    Viongozi wenye dhamana waache utapeli ajira mpya

    umaskini!kama we TAJIRI KIVYAKO!TUNAONGELEA AJIRA MPYA WE UNAZUNGUMZIA UMASKINI!KAMA WE TAJIRI UNGEKUWA UNAISHI DUNIA YA KWANZA,LAKINI DUNIA YA TATU NA UNAWAONGEA WENZAKO MASKIN............POOR MIND...................UMEFILISIKA HOJA.....NA UNAPRETEND TAJIRI
  2. M

    Viongozi wenye dhamana waache utapeli ajira mpya

    hatuzungumzii itikadi ya chama,ila somo TUMEJIFUNZA NA MPAKA SASA NI WALIMU
  3. M

    Viongozi wenye dhamana waache utapeli ajira mpya

    Unapokuwa unasubiri jambo,na kwa mapana yake ,wahusika wenye dhamana haswa viongozi walio na dhamana ya kuaminisha au kuondolea utata jambo hilo wanapokuja na kauli za kilaghai na kitapeli,huu ni utesaji na kutoa mateso kwa yule anayesubiri jambo hilo tena kwa muda mrefu sana.Hapa nazungumzia...
  4. M

    Serikali hii ishafilisika

    Mwaka jana serikali iliidhinisha katika bunge la budget fedha za wizara ya elimu haswa mpaka ile ya mafunzo kwa vitendo kwa walimu wa diploma.Wonderful enough mpaka leo walimu sisi,kwa mujibu wa btp iliyoanza tarehe 03 mwezi huu wa tatu tumepewa hela za siku kumi tu badala ya 46 na zilizobaki...
Back
Top Bottom