huyu ni tapeli kweli, mm nimeenda hadi ofisi za mwanza community bank kuulizia hili suala, cha ajabu mcb wamekanusha kuwa na tangazo la kazi kwa miezi hii ya karibuni yaani ndani 2014, kuweni makin na hawa jamaa wanaojiita QUQLITY SERVICE GROUP, akina MWESIGA PIUS ni wezi wqa kwenye mitandao...