Recent content by makumbo junior

  1. makumbo junior

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV apewa vitisho baada ya kutoa habari ya abiria waliokwama na treni

    pole sana ndugu yetu mungu atakulinda katika hilo.
  2. makumbo junior

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    wewe usiyefuatilia ccm ndo unasema ccm imekufa ila kwa wale wanaokifuatilia hakijafa labda tu kwa kuwa umeegemea kwa lowasa ndo mana unasema kimekufa.....subiri tar 25 ndo upate jibu kuwa ccm imekufa ikiwa lowasa atakuwa raisi wa tz lakini sio kwa sasa ambapo kila mmoja anawika kwa staili yake.
  3. makumbo junior

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni Mfumo wenu uendane na mgombea urais

    aliyekuambia kuwa yule ni mgombea wa ukawa nani?acha kujidanganya na kama haujui ukawa sio chama na ndo mana hata kwenye taasisi ya vyama haikipo....na huyo lowasa anasimama kwenye chama cha chadema hivyo yani kama ulikuwa hujui.
  4. makumbo junior

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    kiaje sasa kwani kuna mgombea uraisi aliyefariki?
Back
Top Bottom