Recent content by makologoto

  1. M

    Dr. Fedrick Longino: Jimbo la Sumve wanakusubiri kuchukua fomu

    Ndg unaongea nini mbona Dr Slaa alikuwa ccm miaka yote sasa ni katibu mkuu cdm? Mbona Prof safari alikuwa CUF miaka mingi? Mkiendekeza uhasama mtapoteza jimbo, km wewe ni mwanasumve mpigie simu uongee naye upate majibu yake, ni kijana ambaye yuko free kujadili lolote.
  2. M

    Dr. Fedrick Longino: Jimbo la Sumve wanakusubiri kuchukua fomu

    Nadhani vyama vyote view makini na mamluki, wapo ccm, chadema, cuf, act nk. Huwezi kujua uzuri wa kitabu kwa kukiangalia nje, kisome ndani. Sauti ya wananchi ndiyo sauti ya wapiga kura. Msitafutane uchawi ndani ya vyama vyenu hamtashinda. Jengeni umoja hata pale hukubaliani na maamzi ya chama au...
  3. M

    Dr. Fedrick Longino: Jimbo la Sumve wanakusubiri kuchukua fomu

    Kaka huyu Dr Longino, mimi nimemshuhudia akimwaga sera wakati wa kura za maoni 2010. Ni mgombea pekee aliyekuwa anamwaga sera za ushawishi na hakuwa anahonga wapiga kura km wenziye. Km angehonga, hata watu wanasema wazi, siyo siri, Dr Longino angekuwa mbunge sasa hivi. Tatizo lake ni hilo hatowi...
  4. M

    Dr. Fedrick Longino: Jimbo la Sumve wanakusubiri kuchukua fomu

    Kaka labda wewe hukai huko au unachuki naye binafsi au na wewe ni mashindani wake wa kisiasa. Sijaona ulipoelezea udhaifu wake wowote. Mimi nimekuwa nanunua pamba huko kwa muda wa miaka kama kumi hivi sasa. Watu wanamlaumu kwa kutogawa rushwa tu lakini amewasaidia vijana kujiunga na vyuo...
  5. M

    Dr. Fedrick Longino: Jimbo la Sumve wanakusubiri kuchukua fomu

    Huyu Dr Longino nimeambiwa alishiriki kura za maoni ccm mwaka 2010 akawa wa pili. Ila watu wengi hapa jimboni wanasikia ameombwa agombee kupitia chadema/ukawa. Nimekutana na kiongozi mmoja wa jimbo chadema akasema wanamsubiri kuja kumtambulisha rasmi kwa wananachi na kuchukua fomu. CV yake...
  6. M

  7. M

  8. M

  9. M

    Dr. Fedrick Longino: Jimbo la Sumve wanakusubiri kuchukua fomu

    Dr wanasumve wanataka kujua lini unakuja kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la sumve? Vijana wanataka kukuandalia mapokezi makubwa na kukusindikiza kwenda kuchukua fomu. Mimi niko huku tunaanza maandalizi ya kununua pamba, vijana na akina mama wanasema mwaka huu ni wako na kamwe...
  10. M

    Katiba ya tanzania kujadiliwa london - dkt longino mtarajiwa wa jimbo la sumve kuongoza mjadala

    Yule jamaa niliyekuta jina lake linavuma sana jimbo la sumve mwaka jana wakat wakununua pamba, nimemsaka mtandaoni na kuona ataongoza mjadala wa katiba ya Tanzania chuo kikuu cha London tarehe 28/2/15 ni Dkt Fredrick Longino. Huko jimbo la sumve Mwanza wanasema anakubalika sana lakini inabidi...
  11. M

    Nia yangu jimbo la sumve ipo pale pale

    Kama una nia kweli weka jina lako ili tupate kulieneza, wengine huko ndiko tunafanyiakazi. Pia vyema wanasumve wakapata muda wa kuwajadili nyie wenye nia hiyo njema.
  12. M

    Wana Sumve Kwimba hebu tuambie

    Juzi tulikuwa na ziara ya kufuatilia maandalizi yaununuzi wa zao la Pamba wilayani Kwimba. Katika mizunguko yetu tulipita jimbola Sumve. Kama kawaida siku hizi mijadala ya kisiasa haiishi kwa watu. Watuwengi wakawa wanasema hawamtaki kabisa Ndassa amekuwa madarakani miaka 20.Wakawa wanasema...
  13. M

    Jimbo la Sumve kuelekea Uchaguzi mkuu 2015: Tumjadili Fedirick Longino

    Juzi tulikuwa na ziara ya kufuatilia maandalizi ya ununuzi wa zao la Pamba wilayani Kwimba. Katika mizunguko yetu tulipita jimbo la Sumve. Kama kawaida siku hizi mijadala ya kisiasa haiishi kwa watu. Watu wengi wakawa wanasema hawamtaki kabisa Ndassa amekuwa madarakani miaka 20. Wakawa wanasema...
  14. M

    Kukarabati ukumbi wa bunge la katiba billioni 82! Mitambo ya elektroniki ya kura ipo ya nini?

    Mimi nchi yangu inanishangaza sana. Mara nyingi huwa inaingia gharama kununua mitambo ya kisasa tena kwa majigambo makubwa lakini mara nyingi huwa haitumiki. Majuzi tuliaminishwa kuwa serikali ilikuwa halali kutumia billioni 82 kukarabati ukumbi wa bunge la katiba, ikiwa ni pamoja na kufunga...
  15. M

    Habari na Picha: Mwigulu Nchemba afungua kampeni jimbo la Kalenga kwa kishindo.

    Mwigulu arudishe posho ya bunge la katiba. Anapaswa awe kwenye kazi ya kutengeneza katiba, yeye km waziri wa fedha anaonyesha mfano mzuri wa kuchukua posho za kuwa anahudhuria bunge la katiba mbali na kuwanyima wapiga kura wake nafasi ya kuwakilishwa katika mijadala inayoendelea juu ya bunge la...
Back
Top Bottom