Recent content by Makirita Amani

 1. Makirita Amani

  Leo Kampigie Kura Mtu Huyu Mmoja Na Atayabadili Kabisa Maisha Yako Kwa Miaka Mitano Ijayo

  “Miaka mitano ijayo utakuwa sawa na ulivyo leo, isipokuwa kwa watu utakaokutana nao na vitabu utakavyosoma.” ― Charlie Tremendous Jones Rafiki yangu mpendwa, Leo tarehe 28/10/2020 ni siku ya kipekee kwenye maisha ya kila Mtanzania, kwani tunapata nafasi ya kwenda kushiriki kuamua ni watu gani...
 2. Makirita Amani

  Sababu kuu tano (5) za kizazi cha sasa kupitia changamoto nyingi na jinsi ya kuondoka kwenye changamoto hizo

  Kama utaratibu huo unafanya kazi vizuri kwako, huna unacholalamikia kwenye maisha yako na una furaha ya kudumu, nashauri uendelee nao. Lakini kama kuna kitu unaona hakiko sawa, basi kujifunza na kujaribu vitu vipya haina hasara. Kila la kheri.
 3. Makirita Amani

  Sababu kuu tano (5) za kizazi cha sasa kupitia changamoto nyingi na jinsi ya kuondoka kwenye changamoto hizo

  Vizuri mkuu kwa utaratibu huo, unakupa nafasi ya kuweka umakini kwenye mambo mengine. Wengi wamekuwa mitandaoni muda wote, kitu kinachowaweka kwenye usumbufu na kuwakosesha utulivu.
 4. Makirita Amani

  Sababu kuu tano (5) za kizazi cha sasa kupitia changamoto nyingi na jinsi ya kuondoka kwenye changamoto hizo

  Kitu pekee tunachojifunza kwenye historia ni kwamba hakuna tunachojifunza kwenye historia, hiyo ni kauli aliyowahi kuitoa Mwanafalsafa Hegel. Ni kauli nzito na inayopaswa kutufundisha mengi, lakini kama Hegel alivyoeleza, haitufundishi chochote. Iko hivi rafiki, hakuna kitu kipya kinachotokea...
 5. Makirita Amani

  Vitu vitatu (03) unavyohitaji ili unufaike na usomaji wa vitabu

  Ni muhimu sana tupate muda wa kutafakari tunayosoma, na siyo kusoma tu kumaliza kitabu ili useme umesoma.
 6. Makirita Amani

  Vitu vitatu (03) unavyohitaji ili unufaike na usomaji wa vitabu

  Wengi wa wanaosoma vitabu wanapoteza tu muda wao, wanakazana kusoma ili waweze kuwaambia wengine wamesoma vitabu vingapi, huku maisha yao yakiwa hayabadiliki kwa namna yoyote ile. Huu siyo tu upotevu wa muda, bali pia kuchafua akili, maana kama ambavyo Alexander Pope amewahi kusema, “Maarifa...
 7. Makirita Amani

  Jinsi ya kutumia Falsafa ya Ustoa Kukabiliana na janga la Corona

  Karibu mkuu, Muhimu ni kuchakata maelekezo hayo na kufanyia kazi yale yaliyo sahihi.
 8. Makirita Amani

  Jinsi ya kutumia Falsafa ya Ustoa Kukabiliana na janga la Corona

  Asante mkuu. Tuendelee kujifunza kwa tulio tayari.
Top Bottom