Recent content by Makininick

  1. Makininick

    SoC02 Njoo Kimahama Interview

    Sawa ndugu yangu.
  2. Makininick

    Tanzania tumepigika tena, safari hii 3-0, Uganda haooooo wamefuzu CHAN 2023

    Kocha mpya hawezi ata kushindana na 🦁 ndo Kocha wa Taifa.
  3. Makininick

    SoC02 Njoo Kimahama Interview

    Waswahili husema "Mwanzo Mgumu" kutoka na msemo huu tunaweza kujenga hoja kwamba, kila kinachoonekana kuna mwanzo ulio mgumu. Leo Jamii forum inawafuasi zaidi ya milioni moja lakini ilianza na mtu mmoja. Mwaka 2013 nilimaliza kidato cha nne Shule ya Sekondari Orkolili iliyopo Wilaya ya Siha...
  4. Makininick

    SoC02 Mtu Makini

    Mtu huwa makini afanyapo jambo kwa juhudi na uangalifu wa hali ya juu. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii anaonekana na umakini katika kusoma kwake, mfanyabiashara anayejituma kwenye biashara yake tunamwita mfanyabiashara "Makini". Mtu makini huwa na malengo anayotaka kuyafikia, na hufanya juhudi...
Back
Top Bottom