Salam wanajamii, Nina degree ya economics and statistics na nina uzoefu sana kwenye upande ufatao;
1.Kutumia excel
2.Kuingiza data kwenyeSPSS na kuzifanyia analysis
3.Kuandika research
4.Kutumia vizuri computer eg. kutype kwa haraka,kufanya installations, na stationary activities...