Ndugu zangu mimi niliitwa kufanya interview kwenye shule fulani hapa mbeya inaitwa umoja primary. Baada ya wiki mbili nilipigiwa simu na mtu ananiuliza ww ndo fulani nikasema ndiyo lakini akaniambia samahani nimekupigia kwa bahati mbaya na mm nikashangaa sana maana nimesafiri mpaka kufika hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.