Recent content by Makbenny

  1. M

    JamiiForums Tanzania Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Haya mambo haya! Mgogoro humalizwa na wahusika. Inakuwaje tufanye makubaliano na mtu asiye sehemu ya mgogoro na kumwacha mlengwa? Maigizo haya tutayamaliza lini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Pole sana. Unachopaswa kujua ni kwamba daima MUNGU hadhihakiwi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nitawasweka ndani viongozi wa siasa wanaowakejeli viongozi wa dini mitandaoni; aagiza barabara moja jijini iitwe Kardinali Pengo!

    Mbona yeye ni nambari wani wa kuwakejeli hao viongozi wa dini. Au amesahau wakati ule anaingia mgogoro wna Clouds media ulisababishwa na harakati zake za kumdhalilisha kiongozi wa dini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Kwa kumwogopa nani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Hana cha kuogopa hata kidogo. Wenye kuona kwamba ubunge ni dili zaidi ya uhai, uhuru na haki za bindamu ndo wanapaswa kuogopa. Anachokifanya Lissu ni kusimamia ukweli, haijalishi ukweli huo una gharama kiasi gani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Lakini Masha si aliingia kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa? Atulize mpira, juhudi zenyewe ndo hizo!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Lakini Masha si aliingia kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa? Atulize mpira, juhudi zenyewe ndo hizo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa azimio la kumpongeza Rais Magufuli ununuzi wa korosho wamuondoa Msigwa bungeni

    Sifa hadi zinamkera anayesifiwa!
  9. M

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Rais Magufuli afungua kiwanda asema Tanzania ina fedha za kujiendesha kwa miezi zaidi ya 5, haijawahi kutokea!

    Huyu mtu ni kigeugeu huyu. Bahati nzuri ni msahaulifu sana wa yale ayasemayo. Hakawii kusema mlininukuu vibaya !
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhoji na kukosoa ni muhimu kwa maendeleo

    Ipo dhana inayoenea miongoni mwa watanzania kwamba anayeikosoa serikali katika mambo anayoona hayaendi sawa haitakii mema nchi hii. Dhana hii haina budi kukemewa na kulaaniwa kwani ni dhana potofu. Si kweli kwamba kila linaloamuliwa au kufanywa na serikali ni sahihi. Mapungufu hayakosekani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Kama aliitunza siri hiyo wewe umeijuaje?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unapokwenda mahakamani kudai nakala ya hukumu na kujibiwa mchapaji wa hukumu yupo likizo

    Wadau hii imekaaje? Nimekwenda mahakama moja ya mwanzo kudai nakala ya hukumu ya kesi yangu nikajibiwa hukumu hiyo haijachapwa na mchapaji yupo likizo. Swali ninalojiuliza: Hukumu yangu ina zaidi ya miezi miwili tangu imetoka na haijachapwa, je, hukumu huchapwa pale tu nakala inapohitajika...
Back
Top Bottom